Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa nchi wanachama wa kundi la G20 kuchukua hatua za pamoja ikiwemo kupunguza na kusamehe ushuru wa forodha, kufuta vizuizi vya kibiashara na kurahisisha shughuli za biashara, hali ambayo itatoa ishara yenye nguvu ili kuinua ari ya kufufuka kwa uchumi wa dunia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |