• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TANZIA: Atletico Madrid yapoteza kinda wake timu ya vijana

  (GMT+08:00) 2020-03-30 08:23:12

  Mabingwa wa Ligi ya Hispania, Atletico Madrid wanaombeleza kifo cha kinda wao hatari Christian Minchola. Mshambuliaji huyo mwenye miaka 14 amekuwa fiti kwa timu ya vijana baada ya kujiunga nao msimu wa mwaka 2013/14. Japo chanzo cha kifo chake hakijabainishwa, rekodi yake ya kufurahisha katika klabu hiyo sio ya kusahaulika kwa haraka. Mshambuliaji huyo alijiunga na klabu hiyo ya La Liga msimu wa mwaka 2013/14 na amefunga magoli 50 katika timu hiyo ya vijana. Rais wa klabu hiyo Enrique Cerezo, pia alitoa rambi rambi zake akisema wameshtushwa na habari za kusikitisha kuhusu kifo cha mchezaji wao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako