• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ukarabati wa reli waendelea baada ya treni kuacha njia yake katikati ya China

  (GMT+08:00) 2020-03-31 09:31:58

  Ukarabati wa reli unaendelea baada ya treni moja kuacha njia yake kwenye mji wa Chenzhou, mkoani Hunan, katikati ya China, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 127 kujeruhiwa. Ajali hiyo ilitokea katika Kaunti ya Yongxing wakati treni hiyo ilipokumbwa na maporomoko ya udongo na kuyafanya mabehewa matano kuacha njia. Behewa la kuzalisha umeme la treni hiyo liliwaka moto. Hivi sasa Moto umezimwa na watu waliojeruhiwa wamepelekwa hospitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako