Bara kufikia sasa imepoteza wastani wa dola bilioni 29 la pato la Taifa GDP kwa janga la virusi vya corona, kulingana na makadirio ya Uneca.
Afrika Mashariki, Uneca imeonya mkoa huo kukuwa tayari kukubali usumbufu katika biashara ya ndani ya mkoa, ugavi wa usambazaji wa biashara ikiwa mshirika mkuu ni pamoja na China, mshtuko wa bei ya bidhaa, na upotezaji mkubwa wa kazi katika sekta ya utalii na anga.
Ukuaji wa uchumi unatarajiwa kushuka kutoka asilimia 6.4 mnamo 2019 hadi asilimia 3.4 mwaka huu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |