• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mawaziri wa fedha wa G20 wakubali kutekeleza mpango wa kukabiliana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-04-01 08:54:33

    Mawaziri wa fedha na wakurugenzi wa benki kuu wa Kundi la nchi 20 (G20) jana walifanya mkutano kwa njia ya video, na kufikia maoni ya pamoja kuhusu utekelezaji wa mpango wa kukabiliana na COVID-19, ili kutimiza ahadi zilizotolewa kwenye mkutano maalumu wa kilele uliofanyika karibuni.

    Washiriki wa mkutano huo wamejadili namna ya kufanya uratibu ili kukabiliana na COVID-19, na umuhimu uliooneshwa na mashirika ya fedha ya kimataifa ikiwemo Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) na Benki ya Dunia katika kupanga raslimali na kuunga mkono masoko yanayoibuka na nchi zinazoendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako