• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chuo kikuu cha Johns Hopkins chasema idadi ya vifo kutokana na COVID-19 kote duniani imezidi elfu 40

    (GMT+08:00) 2020-04-01 09:25:29

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani, idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona kote duniani imezidi elfu 40.

    Hadi kufikia jana watu 40,708 waliripotiwa kufariki kutokana na virusi hivyo, huku watu zaidi laki 8.26 wakithibitika kuambukizwa, na watu laki 1.74 kati yao wamepona.

    Marekani ni nchi yenye maambukizi mengi zaidi kwa kuwa na watu zaidi ya laki 1.7 walioambukizwa, ikifuatiwa na Italia yenye watu zaidi laki 1 walioambukizwa.  

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako