• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: GSM kumrudisha Makambo Yanga

    (GMT+08:00) 2020-04-01 16:32:05

    Klabu ya Yanga imeonesha jeuri ya fedha baada ya kuonesha nia ya kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wao, Heritier Makambo, huku wakijivunia mdhamini wao GSM kuaunga mkono. Makambo ni miongoni mwa majina yanayotajwa kipindi hiki na GSM wakitajwa wako tayari kununua mkataba wa mchezaji huyo anyechezea timu ya Horoya FC ya Guinea kwa sasa. Ofisa mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema, watashirikiana na mdhamini huyo kuhakikisha wanaitengeneza Yanga kuwa ya kimataufa zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako