• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Jude Belligham aikacha Man United, aitaka Dortmund

  (GMT+08:00) 2020-04-01 16:34:53

  Mshambuliaji kinda wa Birmingham City, Jude Belligham ameripotiwa kuikacha Manchester City na kutaka kutimkia Borussia Dortmund. Mshambuliaji huyo mwenye miaka 16 alikuwa anahusishwa na klabu hizo mbili, na kuna wakati alionekana karibu kujiunga na Man United, lakini taarifa za hivi karibuni zinasema kinda huyo ameamua kuichezea Dortmund. Hata hivyo kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona, inaonekana dili hilo likakwama huku pia Dortmund wakihofia uchumi wao kuyumba kutokana na virusi hivyo. United kwa sasa inajipanga kupata saini ya Jadon Sancho anayechezea Dortmund.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako