• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miradi 152 mikubwa yasainiwa Shanghai

    (GMT+08:00) 2020-04-01 18:54:38
    Jumla ya miradi 152 mikubwa ya dola bilioni 62.4 imesainiwa Jumanne mjini Shanghai nchiniChina.

    Kati ya miradio hiyo, 28 mikubwa ya zaidi ya dola bilioni 22 ilisainiwa kwenye maeneo ya ujenzi na miradi 124 yenye thamani ya jumla ya Yuan bilioni 280 ikasainiwa mtandaoni.

    Miradi hiyo iko katika sekta ya sayansi ya ujasusi, matibabu, usafiri wa anga za juu, nishati mpya, huduma za kifedha, rejareja na huduma za biashara.

    Thamani ya miradi yote kutoka nje ilikuwa zaidi ya dola bilioni 16 za Kimarekani

    Aidha mamlaka ya mji wa Shanghai ilizindua jukwaa la kukuza uwekezaji ambalo lina habari kuhusu sera muhimu 400, maeneo 200 ya viwandani na majengo 3,000 ya ofisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako