• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Liverpool vitumbo joto huenda wakampoteza Jurgen Klopp

    (GMT+08:00) 2020-04-02 08:41:31

    Klabu ya Liverpool ya England ipo katika mtihani mkubwa wa kuhakikisha kocha wao Jurgen Klopp anaendelea kusalia kama kocha mkuu wa kikosi chao wakati huu akiwa anahusishwa kuondoka. Imeripotiwa kuwa Ujerumani kwa sasa wanamtazama Jurgen Klopp kama kocha wao ajaye wa timu ya taifa baada ta Joachim Low, kitu ambacho kama kitatokea kitakuwa pigo kwa Liverpool. Liverpool kwa kipindi kirefu imekuwa ikisuasua na kuamua kubadilisha makocha kila leo toka alipoondoka Raphael Benitez aliyedumu na timu hiyo kwa miaka 6 (2004-2010) toka hapo ilibadilisha makocha watatu kabla ya kumpata Klopp 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako