• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maporomoko ya maji ya Victoria yafungwa kwa muda usiojulikana

    (GMT+08:00) 2020-04-02 09:56:54

    Serikali ya Zambia imetangaza kuwa maporomoko ya maji ya Victoria ambayo ni urithi wa dunia, yamefungwa mara moja kwa muda usiojulikana. Katika barua iliyosainiwa na kutolewa na mkurugenzi wa kanda wa kamati ya uhifadhi na urithi wa kitaifa ya nchi hiyo Bw. Oliver Kandyata kwa Shirikisho la utalii la Livingstone, amesema kufungwa kwa maporomoko hayo kunatokana na mlipuko wa virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako