• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Operesheni inayoongozwa na Interpol yawakamata watuhumiwa katika nchi za Afrika

    (GMT+08:00) 2020-04-02 09:57:16

    Operesheni inayoongozwa na Shirika la Polisi la Kimataifa Interpol imewakamata baadhi ya watuhumiwa wa kimataifa nchini Kenya, Tanzania, Uganda na DRC. Ili kuimarisha mapambano dhidi ya ugaidi, Operesheni hiyo inayoitwa Simba II imeimarisha uwezo wa polisi wa mstari wa mbele kutambua msafiri kama ni gaidi au mhalifu kwa kutumia mifumo ya shirika hilo iliyowekwa kwenye viwanda vya ndege na forodha za ardhini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako