• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Botafogo yampa John Obi Mikel dili nono baada ya kutimuliwa nchini Uturuki

  (GMT+08:00) 2020-04-07 09:37:19

  Baada ya kuvunja mkataba na klabu yake nchini Uturuki kwa kigezo cha kutotaka kucheza wakati huu wa virusi vya corona, John Obi Mikel amepata ofa mpya. Imeripotiwa kuwa John Obi Mikel amepewa ofa ya mshahara wa dola milioni 2 (Tsh Bilioni 4.6) kwa mwaka kutoka klabu ya Botafogo ya nchini Brazil ili ajiunge nayo kwa mkataba wa miezi 18.

  Mkataba huo kwa mujibu wa mwandishi wa ESPN atakuwa akilipwa mshahara mkubwa zaidi ya aliyokuwa anapewa katika klabu ya Trabzonspor ya nchini Uturuki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako