• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya madaktari ya China yawasili Kazakhstan na vifaa vya matibabu

    (GMT+08:00) 2020-04-10 10:39:52

    Timu ya madaktari ya China imewasili Nur-Sultan, mji mkuu wa Kazakhstan, ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona. Timu hiyo inayoundwa na watu kumi imeenda na msaada wa matibabu, ikiwemo maski 4800 aina ya N95, maski 49600 za ngazi ya upasuaji, nguo 2,000 za kujikinga, mashine mbili za kupumulia na dawa nyingine nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako