• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TANZANIA: MAUZO MAZAO NJE YA NCHI YAMEPUNGUA

    (GMT+08:00) 2020-04-13 17:29:39

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali, amebaini kupungua kwa mauzo ya mazao nje ya nchi na kushuka kwa kiwango na bei za bei za mazao hayo.

    Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2018/2019, iliyowasilishwa bungeni Jumatatu iliyopita, Charles Kichere anatahadharisha kuwa hali hiyo ikiendelea itawakatisha tamaa wakulima na kuhatarisha uchumi wa nchi.

    Kilimo kinachangia sehemu kubwa ya pato la taifa na husaidia sana wakulima wadogo vijijini kujikimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako