• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: Tottenham Hotspurs yabadili sehemu ya uwanja wake na kuwa kituo cha kupima corona

    (GMT+08:00) 2020-04-16 09:15:25

    Klabu ya Tottenham Hotspurs jana ilionesha ilivyobadili sehemu ya uwanja wake na kuwa sehemu ya kutolea huduma kwa watu kupima maambukizi ya virusi vya corona. Tottenham wametengeneza sehemu ya kutolea huduma hiyo underground ambako kunatumika kama maegesho ya magari. Sehemu hiyo ikiwa chini ya taasisi ya utoaji wa huduma ya afya England (NHS), watakuwa na uwezo wa kupima watu 70 kwa siku na kutakuwa na manesi 10, muda wa kutoa huduma hiyo itakuwa saa nne asubuhi hadi saa nane mchana Jumatatu hadi Ijumaa kwa saa za Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako