• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Pogba awasifu Scholes, Pirlo

    (GMT+08:00) 2020-04-16 17:06:20

    Paul Pogba amewazungumzia wachezaji nyota Paul Scholes na Andrea Pirlo kuwa ni wachezaji wa aina yake. Pogma amesema kucheza pambani ya nguli hao katika timu mbili tofauti imekuwa funzo kubwa kwake. Kiungo huyo alicheza na Scholes Manchester United kabla ya kujiunga na Juventus alipokutana na Pirlo. Scholes na Pirlo wanatajwa kuwa wachezaji bora wa kiungo kuwahi kutokea duniani kabla ya kustaafu. Pogba ambaye ni kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, amesema uzoefu alioupata kwa nguli hao umempa fursa ya kucheza kwa kiwango bora. Amesema wachezaji hao wana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya kiungo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako