• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi mkoani Shaanxi

    (GMT+08:00) 2020-04-21 10:46:24

    Rais Xi Jinping wa China ameanza ziara ya ukaguzi mkoani Shaanxi jana Jumatatu.

    Kwenye ziara hiyo, rais Xi alitembelea Hifadhi ya Taifa ya Niubeiliang iliyoko mashariki mwa Milima ya Qinling na kukagua hali ya uhifadhi wa mazingira ta asili kwenye eneo hilo. Pia alikwenda katika kijiji cha Jinmi wilayani Xiaoling kukagua kazi ya kupunguza umaskini huko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako