Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania inadaiwa ada ya kutua kwa $ 5 kwa ndege ya 1,000Kg katika viwanja vya ndege vya Dar es salaam, Kilimanjaro, Zanzibar na Pemba.
Malipo ya kutua inayolipishwa na Mamlaka ya ndege ya Tanzania ni dola tano kwa kilo 1000, na malipo haya ni sawa na Kilimanjaro, Zanzibar na uwanja wa denge wa Pemba.
Ada ya kuegesha kwa ndege ya zaidi kilo 20,000 ni sh 1000 na dola 6 kwa masaa 12 kwa mashirika ya ndege yaliyosajiliwa nchini Tanzania na kigeni kwa mtiririko huo.
Chama cha Bustani Tanzania (Taha) kinapendekeza serikali kutoa vibali vya kutua kwa muda mrefu kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamsha ndege zao kutokana na janga la corona
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |