• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi mkoani Shaanxi

    (GMT+08:00) 2020-04-22 11:25:19

    Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Shaanxi katika siku mbili zilizopita, ambapo alitembelea vijiji vya milimani, wilaya ndogondogo na familia za wakulima, na kufuatilia maisha ya watu wa huko na kukagua maendeleo yaliyopatikana katika kuondoa umaskini mkoani humo.

    Huu ni mwaka wa kutokomeza umaskini nchini China. Akihutubia mkutano kuhusu kuondoa umaskini uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Machi, rais Xi alisisitiza ahadi makini iliyotolewa na Kamati kuu ya Chama ya kutokomeza umaskini kwenye maeneo yote ya vijijini nchini China kabla ya mwisho wa mwaka 2020, na kutaka lengo hilo litimizwe kama ilivyopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako