• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Lukaku awaomba radhi wachezaji wenzake kwa kauli yake kuhusu corona

    (GMT+08:00) 2020-04-24 08:21:33

    Mshambuliaji wa Inter Milan ya Italia Romelu Lukaku ameomba radhi kufuatia kauli yake aliyotoa wakati wa mahojiano yake ya Januari kuhusiana na wachezaji wenzake. Katika mahojiano hayo Lukaku alisema kuwa wachezaji 23 kati ya 25 wa Inter Milan wana dalilia za maambukizi ya virusi vya corona. Baada ya kauli hiyo iliripotiwa kuwa Inter Milani itamuadhibu,. Akinukuliwa katika mahojiano yake na kituo cha TV cha Ubelgiji cha VIER kupitia instagrama LIVE Lukaku alisema baada ya wachezaji wa timu yake kurejea wakitoka likizo ya Disemba kila mmoja wao alikuwa anakohoa na homa katika mechi dhidi ya Cagliari January 26 na walipokuwa wanafanya warm up alihisi joto kuliko kawaida, hakuwa ameugua homa kwa miaka sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako