• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China aitisha Mkutano wa baraza la serikali

  (GMT+08:00) 2020-04-29 10:08:58

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana aliitisha mkutano wa wajumbe wa kudumu wa Baraza la serikali la China, akisikiliza ripoti kuhusu hali ya utekelezaji wa maoni yaliyotolewa kwenye Mikutano Miwili, ya bunge la umma la China na Mkutano wa baraza la mashauriano ya kisiasa, iliyofanyika mwaka 2019, kuhimiza utoaji wa maamuzi kwa njia za kisayansi na kidemokrasia, kuongeza ufanisi wa utawala wa serikali, kuweka mipango ya kuharakisha ujenzi wa miundo mbinu ya aina mpya ukiwemo mtandao wa upashanaji wa habari, na kuhimiza viwanda na matumizi kuongezeka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako