• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Beckham ataka Sanchez akakipige Inter Miami

    (GMT+08:00) 2020-04-29 16:10:40

    Mmiliki wa Klabu ya Inter Miami, David Beckham anafikiria mpango wa kumsajili Alexis Sanchez kutoka Manchester United. Sanchez amecheza msimu huu kwa mkopo Inter Milan, lakini miamba hiyo ya Serie A haina mpango wa kumchukua jumla, na ameishia kucheza mechi tisa tu za Ligi na anasumbuliwa na majeruhi. Hivi karibuni, Sanchez anadaiw akununua nyumba Florida, karibu kabisa na maskani ya klabu ya Inter Miami, na mwaka jana, mchezaji huyo alithibitishwa kuwa timu hiyo iliwasiliana naye kwa ajili ya kumsajili, jambo lililomvutia sana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako