• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Balotelli aeleza sababu za kuikataa Juventus 2013

    (GMT+08:00) 2020-04-30 16:40:28

    Mshambuliaji wa zamani wa Man City Mario Balotelli ameweka wazi kuwa alikuwa mbioni kujiunga na club ya Juventus ya Italia akitokea Manchester City kabla ya kubadilisha mawazo. Balotelli aliondoka Man City 2013 baada ya kuitumikia kwa miaka mitatu na kuisaidia kushinda taji la Ligi Kuu England (EPL), amefichua kuwa Juventus ilikuwa ikimuhitaji ajiunge nao. Mario Balotelli, 29, ambaye kwa sasa anaichezea Brescia ya Italia, alicheza Man City kwa miaka mitatu 2010-2013 na kujiunga na AC Milan aliyodumu nayo mwaka mmoja tu kabla ya 2014 kuuzwa Liverpool ila akawa na wakati mgumu kiasi chakumrudisha Milan kwa mkopo mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako