• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mchezaji wa Tembo Worriors afariki ghafla

    (GMT+08:00) 2020-05-06 15:46:51

    Mchezaji wa timu ya taifa ya soka la watu wenye ylemavu nchini Tanzania Tembo Worriors na timu ya mpira wa kikapu ya Tanzania Nestory Lyagulyao amefariki dunia ghafla jumatatu baada ya kuanguka wakati akiwa katika shughuli zake. Ilithibitishwa kuwa, Nestory ambaye alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Shirikisho la Soka la Watu wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) na Mweka Hazina wa Shirikisho hilo alifariki baada ya kufikishwa hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Nestory atazikwa kesho nyumbani kwao Morogoro. Rais wa TAFF, Peter Sarungu amemzungumzia marehemu kuwa ni mtu aliyekuwa na mchango mkubwa katika michezo ya walemavu nchini Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako