• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matumizi ya China yaonesha ufufukaji katika mapumziko ya Sikukuu ya Wafanyakazi

    (GMT+08:00) 2020-05-08 11:48:15

    Wizara ya biashara ya China imesema, hali ya matumizi ya China imeonesha mwelekeo wa kufufuka katika siku tano za mapumziko za Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. Msemaji wa wizara hiyo Bw. Gao Feng amesema, kiwango cha wastani cha mauzo ya biashara za rejareja kimeongezeka kwa asilimia 32.1 ikilinganishwa na siku za mapumziko za siku ya kuwakumbuka marehemu ya mwezi Aprili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako