• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza adokeza mpango wa mwitikio wa kipindi kijacho dhidi ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-05-11 09:19:44

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson jana usiku kwenye hotuba yake ya nchi nzima alitangaza hatua za serikali yake za kupambana na maambukizi ya COVID-19 katika kipindi kijacho.

    Bw. Johnson amesema serikali imepanga kulegeza zuio kwa masharti, kwa kuwa jambo linalopewa kipaumbele ni kulinda umma na kuokoa maisha, haitaweza kusonga mbele bila kutimiza malengo matano yaliyowekwa awali."

    Malengo hayo matano ni pamoja na kulinda Mfumo wa Taifa wa Huduma za Afya NHS, kupungua kwa kiwango cha vifo, kupungua kwa kiwango cha maambukizi, kutoa vifaa vya kutosha vya kujikinga PPE kwa watu wanaohitaji, na kuhakikisha hatua yoyote ambayo serikali inachukua haitasababisha ongezeko la wagonjwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako