• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar: Miradi yakwamba kutekelezwa kiasa janga la corona.

    (GMT+08:00) 2020-05-11 19:03:51
    Miradi mingi ambayo ilikuwa ikitekelezwa katika kipindi hiki, imesita na fedha zake kuelekezwa sehemu nyingine ikiwamo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.

    Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa pili wa rais, Mihayo Juma Nhunga, alisema hayo wakati akitoa ufafanuzi na kujibu hoja za wajumbekwa mwaka wa fedha 2020-2021.

    Aliitaja baadhi ya miradi ambayo imeyumba ni pamoja na ukarabati mkubwa wa jengo la Baraza la wawakilishi katika baadhi ya maeneo.

    Juma alisema katika mwaka wa fedha wa 2020/21, serikali ilijipanga kujikita kudhibiti uharibifu wa mazingira katika baadhi ya mabonde ya kilimo katika kisiwa cha Pemba, na maji ya chumvi yanaingia katika mashamba ya wakulima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako