• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BASKETBALL: Shaquile O'Neal apendekeza msimu huu wa mpira wa kikapu ufutwe

    (GMT+08:00) 2020-05-12 15:48:43

    Shaquille O'Neal, mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu na mshindi mara nne wa Ligi hiyo nchini Marekani NBA amesema itakuwa busara kama msimu wa 2019/20 uliosimamishwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona utafutwa. Amesema wachezaji wa Ligi hiyo wanapaswa kuanza maandalizi kwa ajili ya msimu wa 2020/21 na kuachana na mashindano yaliyoahirishwa mwezi Machi kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona. Amependekeza ligi hiyo ifutwe, wachezaji na wakufunze wakae nyumbani, walinde afya zao, na kurejea mwaka ujao katika msimu mwingine, na kutaka kwanza afya ya mashabiki na wachezaji izingatiwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako