• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Mashariki : Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF imeongeza dola bilioni 1.2  kwa ufadhili wa dharura kwa Kenya na Uganda

    (GMT+08:00) 2020-05-12 20:47:21
    Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF imeongeza dola bilioni 1.2 kwa ufadhili wa dharura kwa Kenya na Uganda ili kupambana na janga la Virusi vya Corona ambalo linaleta athari kwa uchumi.

    Kenya itapokea $ 739 milioni kusaidia kurahisisha kupambana na janga la Virusi vya Corona ambalo limeiacha nchi na mahitaji makubwa ya kifedha.

    Uganda itapokea $ 491.5 milioni kufadhili afya, kinga ya jamii na hatua za utulivu wa uchumi kando na kushughulikia usawa wa malipo na mahitaji ya kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako