Chini ya miaka kumi iliyopita, mauzo ya avocado kamwe hayakuwapo.
Lakini, takwimu kutoka kwa shirika la kibinafsi cha kilimo cha matunda , chama cha Tanzania matunda (Taha), na ripoti ya Avocado ya 2020, zinaonyesha kwamba usafirishaji wa avocado ulipanda kutoka tani 1,877 mnamo 2014 hadi tani 9,000 mwaka 2019, ukipatia nchi $ 12 milioni mwaka jana.
bei ya bidhaa pia imeongezeka kutoka Sh450 kwa kilo mwaka 2014 hadi Sh1,500 mnamo 2020.
Nyingi ya Avocado husafirishwa kwenda Ulaya wakati matumizi yake yalifikia tani milioni moja kwa mwaka - na Shirika la Dunia la Avocado (WAO) likitabiri ukuaji wa asilimia 50 kati ya tani 500,000 na 700,000 kwa Ulaya katika miaka kumi ijayo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |