• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Carrefour na msalaba mwekundu kuchangia jamii Kenya

    (GMT+08:00) 2020-05-13 20:36:32

    Maduka ya Carrefour yamezindua kampeni ya utoaji misaada ya mwezi mmoja kwa kushirikiana na shirika na msalaba mwekundu nchini Kenya kusaidia jamii.

    Misaada itakayotolewa chini ya ushirikiano huo ni pamoja na unga wa mahidi, mchele, sukari mafuta ya kupikia na bidhaa nyinginezo za vyakula.

    Carrefour na shirika la msalaba mwekundu zinaomba wateja wake kuchangia kwa kutoa miaada yao kwenye vijisanduku katika maduka mbalimbali nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako