Badala yake wamehakikishiwa kuwa kuna biashara ya malighafi hiyo inazidi kuimarika duniani.
Hayo yalilezwa na Mratibu wa zao hilo kutoka Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT), Michael Bishubo, wakati akizungumzia maandalizi ya kilimo cha zao hilo msimu huu.
Bishubo alisema licha ya uchumi wa dunia kuathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga la COVID-19, lakini soko la zao hilo halijatetereka kutokana na malighafi yake kuwa umuhimu pamoja na mahitaji makubwa duniani.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |