• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Serikali ya Uganda yahimiza uzalishaji wa ndani

    (GMT+08:00) 2020-05-13 20:38:32
    Serikali ya Uganda inapanga kuendelea kupunguza utegmeaji wa bidhaa za kuagiza kutoka nje na badala yake kusaidia viwanda vya ndani kuzalisha.

    Hali hiyo inachangiwa na changamoto za usafirishaji kutokana na janga la virusi vya corona.

    Ripoti ya kila mwezi ya Benki kuu ya Uganda inaonyesha kuwa tangu mwezi Machi 2020 uagizaji bidhaa ulipungua kwa asilimia 10 hadi $ 492m (Sh1.8 trilioni).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako