• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Nyota wa Juventus Miralem Pjanic agomea dili la kujiunga na Manchester United

  (GMT+08:00) 2020-05-15 08:19:43

  Nyota anayekipiga ndani ya Juventus Miralem Pjanic amegomea dili la kujiunga na Manchester United pamoja na lile la kuibukia ndani ya PSG. Licha ya habari kueleza kuwa ana mpango wa kusepa ndani ya Juventus kutokana na kukosa nafasi ndani ya kikosi hicho amegoma kutaja atakapokuwa. Awali ilielezwa kuwa anaweza kujiunga na Manchester United kwa kuwa aliwahi kunukuliwa akisema kuwa anahitaji kucheza Ligi Kuu ya England. Pjanic amefanikiwa kucheza mechi 167 na amejiunga na Klabu ya Juventus 2016 akitwaa mataji sita makubwa, taarifa zinaeleza kuwa anataka kwenda Barcelona.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako