• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mradi usambazaji umeme wabuniwa

    (GMT+08:00) 2020-05-15 20:19:43
    Serikali ya Tanzania imebuni mradi wa 'Peri Urban' utakaosambaza umeme katika maeneo yaliyopo pembezoni mwa miji na vijiji nchini nchini humo.

    Wizara ya Nishati ya Tanzania imesema iko mbioni kuhakikisha kila kijiji katika manispaa mbali mbali zinafikiwa na umeme ili kurahisisha shughuli za kiuchumi kote nchini Kenya. Wizara hiyo imeongeza kuwa upembuzi wa awali umekamilika kwa nchi nzima ukiwamo Mkoa wa Kagera na utekelezaji wa mradi unatarajia kuanza Julai, mwaka huu.

    Aidha, ilisema serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), inaendelea kutekeleza miradi ya kusambaza umeme katika maeneo ya miji, majiji, manispaa, na vijiji ikiwa ni mpango endelevu wa kuunganisha umeme na kuongeza idadi ya wateja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako