• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • HOCKEY: Wachezaji wa mpira wa magongo watoa elimu ya afya ya akili

  (GMT+08:00) 2020-05-19 18:13:35

  Wakati virusi vya Corona vikiendelea kuikumba dunia nzima, kundi la wanamichezo limeamua kutangazia tishio la watu walio hatarini katika jamii. Timu ya mpira wa magongo ya Lakers ya Kisumu imeungana na harakazi hizo kwa kufanya shughuli chanya zinazoleta athari nzuri kwa jamii. Timu hiyo inafanya kampeni kupitia mitandao yake ya kijamii kuwaelimisha Wakenya juu ya umuhimu wa kutilia maanani suala la afya ya akili wakati huu wa mapambano dhidi ya virusi vya Corona na jinsi ya kukabiliana na baadhi ya matatizo hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako