• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Palestina yatangaza kusitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani

  (GMT+08:00) 2020-05-20 09:27:59

  Rais Mahmoud Abbas wa Palestina jana Jumanne alitangaza kuwa Palestina itasitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani. Rais Abbas alitangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa dharura wa viongozi wa vyama vya kisiasa vya Palestina uliofanyika jana usiku.

  Aprili 26, waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema Israel itatekeleza mamlaka ya utawala kwenye maeneo ya makazi ya wayahudi kwenye bonde na ukingo wa magharibi wa mto Jordan katika miezi kadhaa ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako