• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Von Der Leyen: Chanjo si anasa ya watu wachache, inapaswa kutolewa kwa watu wote

    (GMT+08:00) 2020-05-20 10:05:19

    Mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Ulaya Bibi Ursula Von Der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umeitikia mwito wa WHO, kukusanya fedha kwa ajili ya utafiti wa chanjo cha virusi vya Corona, na juhudi za Umoja wa Ulaya zitasaidia kuhimiza maendeleo ya utafiti wa chanjo.

    Amesisitiza kuwa chanjo ikipatikana, ni lazima kuhakikisha inapangwa kwa ajili ya maeneo mengi na kutolewa kwa watu wote.

    Amesema chanjo cha virusi vya Corona haipaswi kuwa anasa ya watu wachache, bali ni kitu cha umma. Amesema dunia nzima inapaswa kufuatilia changamoto za virusi vya Corona, kwa sasa ni muda wa kuimarisha ushirikiano na mshikamano wa binadamu wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako