• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Hatma ya rufaa ya Man City kujulikana kati ya Juni 8 na 10 2020

    (GMT+08:00) 2020-05-20 11:00:15

    Klabu ya Man City itajua hatma ya rufaa yake kati ya Juni 8 na 10 2020 kutoka katika Mahakama ya kimichezo ya kimataifa (CAS). Man City wamefungiwa na UEFA miaka miwili kucheza michuano ya Ulaya baada ya kukiuka sheria za matumizi ya fedha (Financial Fair Play). Februari 14 2020 Man City ilifungiwa kushiriki michuano ya Ulaya ngazi ya klabu kwamba (2020/21 & 2021/22) na faini ya pound milioni 24.9 kwa kosa la kuvunja sheria za UEFA za leseni ya vilabu na kukiuka sheria za matumizi ya fedha. Hata hivyo kosa jingine lililosababisha adhabu hiyo ni kuwa Man City hawakutoa ushirikiano wakati wa uchunguzi, kwa mujibu wa UEFA ni kuwa sheria inataka vilabu vifanye usajili kulingana na pesa inazozalisha na sio kuliko kiasi inachoingiza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako