• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rwanda yaanza kutumia roboti kukabili Corona

  (GMT+08:00) 2020-05-20 19:42:53
  Rwanda imeagiza roboti kutoka Ubelgiji ili kuzitumia kupambana na virusi vya corona ili kupunguza mwingiliano kati ya madaktari na wagonjwa.

  Hatua hiyo pia inatarajiwa kupunguza hatari ya kuambukiza wahudumu wa afya na virusi hivyo.

  Roboti hizo zimezinduliwa nakwa ushirikiano wa wizara ya afya na shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo UNDP katika hospitali ya Kanyinya inayotibu COVID-19.

  Roboti hizo zitaweza kupima hali joto, kukusanya data, kuwatambua watu wasiovalia mask, na kuwapa wagonjwa chakula na dawa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako