• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: FC Seoul ya Korea Kusini yapigwa faini kwa kutumia midoli ya ngono kama mashabiki

  (GMT+08:00) 2020-05-21 08:20:49

  Klabu ya FC Seoul ya Korea Kusini imepigwa faini ya pound 66,500 kutokana na kosa lao la kutumia midoli ya ngono. FC Seoul ilifanya hivyo na kuiweka midoli hiyo uwanjani kama mashabiki wakati wa mchezo wao wa nyumbani wa Ligi Kuu Korea Kusini dhidi ya Gwangju FC uliomalizika kwa FC Seoul kushinda 1-0. Ligi Kuu Korea kusini ni miongoni mwa Ligi zinazomalizia msimu 2019/20 zikichezwa bila mashabiki, huku nyingine zikipanga kurejea hivi karibuni bila mashabiki sababu ya janga la Corona.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako