• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: UEFA yaahirisha kikao cha kujadili hatma ya UEFA Champions League na Europa League hadi Juni 17

  (GMT+08:00) 2020-05-21 08:22:02

  Chama cha soka Ulaya UEFA kimetangaza kuahirisha kikao chake cha ndani cha kujadili hatma ya UEFA Champions League na Europa League hadi Juni 17. Kikao cha kamati tendaji ya UEFA awali kilikuwa kifanyike Mei 27 2020, hii ni kwa ajili ya kujadili namna ya kurejesha michuano ya UEFA Champions League na Europa League 2019/20. Ligi mbalimbali duniani ikiwemo za UEFA Champions League na Europa League zilisimama kwa muda usiojulikana kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona vilivyoleta madhara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako