• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Simba Queens yafikiria ubingwa

  (GMT+08:00) 2020-05-21 19:18:48

  Kocha Mkuu wa SImba Queens, Mussa Hassan amesema mikakati yake ni kuona timu hiyo inafanya vizuri katika michezo yake iliyobakia na hatimaye kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania kwa mara ya kwanza msimu huu. Kocha huyo amesema, mkakati alionao ni kuwabadilishia wachezaji wake program ya mazoezi ili kufidia muda ambao Ligi hiyo ilisimama ili kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona. Simba Queens inashika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi hiyo wakiwa na pointi 29, huku wamebakiza michezo miwili, na vinara wa Ligi hiyo JKT Queens wamecheza mechi mbili zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako