Mratibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu la Uganda kwenye eneo la Kasese Bibi Primrose Natukunda amesema, watu wanane wamethibitishwa kufariki dunia na wengine zaidi ya elfu mbili walilazimika kukimbia makazi yao baada ya mto Ihubiriha kujaa maji na kusababisha mafurikio kwenye eneo la Kasese, magharibi mwa Uganda.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |