Baraza la Seneti la Bunge la Marekani jana Alhamisi lilithibitisha kuwa Rais Donald Trump amemteua Bw. John Ratcliffe kutoka jimbo la Texas kuwa mkurugenzi mpya wa Idara ya kitaifa ya ujasusi DNI. Maseneta walipiga kura 49 za ndio na 44 za hapana na kupitisha uteuzi huo wa Bw Ratcliffe.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |