• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China imemaliza lengo kuu la maendeleo ya jamii na uchumi la mwaka 2019

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:03:59

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, mwaka jana ingawa China ilikabiliwa na changamoto nyingi, imemaliza lengo kuu la mwaka mzima, uchumi wa taifa uliendelea kwa utulivu, maisha ya umma yamezidi kuboreshwa na kuweka msingi muhimu wa kujenga jamii yenye maisha bora kwa pande zote.

  Mwaka jana pato la taifa la China liliongezeka kwa asilimia 6.1 na kufikia dola trilioni 13.9 za kimarekani. Idadi ya nafasi mpya za ajira iliongezeka kwa watu milioni 13.52 katika miji na wilaya, huku idadi ya watu wenye hali duni ya kiuchumi vijijini ikipungua kwa milioni 11.09.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako