• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuongeza nguvu ya kupunguza kodi na gharama

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:08:47

  Ripoti ya kazi ya serikali ya China imedokeza kuwa, mwaka huu China itaendelea kuongeza nguvu ya kupunguza kodi na gharama, na kuzisaidia kampuni haswa kampuni ndogondogo na za kati na wafanyabiashara binafsi kushinda matatizo, inakadiriwa kuwa gharama za kampuni zitakazopungua mwaka huu zitazidi dola bilioni 350 za kimarekani. Wakati huo huo, China itahimiza kupunguza gharama za uendeshaji wa kampuni, kuimarisha uungaji mkono wa kifedha kwa kampuni, na kupunguza gharama za kukusanya fedha za kampuni kwa kiasi kikubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako