• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kukamilisha mfumo wa uendeshaji wa soko wa makampuni yanayomilikiwa na taifa

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:16:34

  Ripoti ya kazi ya serikali ya China iliyotolewa kwa ajili ya kupitiwa, imesema China itatekeleza mageuzi ya miaka mitatu ya makampuni yanayomilikiwa na taifa, ili kuboresha mfumo wa kusimamia mali za taifa. Makampuni yanayomilikiwa na taifa yanatakiwa kuzingatia majukumu makuu kukamilisha mfumo wa kuendeshwa kwa kufuata kanuni za soko, na kuinua ushindani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako