• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuhimiza kuinua kwa kiwango cha shughuli za utengenezaji na maendeleo ya shughuli zinazojitokeza

  (GMT+08:00) 2020-05-22 10:32:25

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo ametoa ripoti ya kazi ya serikali ikisema, mwaka huu China itahimiza kuinua kwa kiwango cha shughuli za utengenezaji na maendeleo ya shughuli zinazojitokeza. China itaendeleza viwanda vya mtandao wa Internet na kuhimiza utengenezaji wa akili bandia. China itaendelea kutoa uungaji mkono wa sera, ili kuhimiza "Internet+" na kujenga nguvu bora ya uchumi wa kidigitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako